"kiukweli ni mwanaume pekee ambae nikiigiza naye huwa nasahau kama nina Igiza na kuhisi ni kweli..namkubali sana huyu mmakonde wangu...@gabozigamba1 @gabozigamba1 ..On SET" Hayo ni maneno msanii huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram
habari michezo na burudani