SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 27 Februari 2016

T media news

NAY WA MITEGO ASEMA ANA UTAJIRI WA ZAIDI YA TSH. BILION 1 NA ZAIDI...PIA ATAJA MALI ZAKE ANAZO MILIKI



MSANII NAY WA MITEGO AMETAJA MALI ZAKE ANAZO MILIKI HUKU AKISEMA KWA SASA ANA UTAJIRI WA ZAIDI YA TSH.BILIONI MOZA ZA KITANZANIA. ALITAJA MALI HIZO KUWA NI MAGARI MATATU YA KUTEMBELEA AINA YA PRADO,MURANO  NA PORTE PIA ANA GARI ZA BIASHARA AMBAZO NI COASTER 2 NA HIACE 3 PIA ANA BAJAJI  NYINGI AMBAZO HAKUTAJA IDADI YAKE PIA ALISEMA ANA MADUKA SALOON NA MASHAMBA KWA AJILI YA KILIMO.ALIYASEMA YOTE HAYO ALIPO KUWA ANAZUNGUMZA NA CLOUDS TV