Kama ilikupita: Hili ndio swali gumu Samatta kujibu, hajawahi kula ugali hata siku moja Ubelgiji kisa? (+Video) TZA_MillardAyo /
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ambaye hivi karibuni aliteuliwa na kocha wa timu ya taifa ya Tanzania kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, yupo mji wa Genk akiendeleza maisha yake ya soka. Samatta anacheza soka katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na Jumapili ya Februry 28 saa 16:30 kwa saa […]
The post Kama ilikupita: Hili ndio swali gumu Samatta kujibu, hajawahi kula ugali hata siku moja Ubelgiji kisa? (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
Maoni
Chapisha Maoni