SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 26 Februari 2016

T media news

BREAKING NEWZZ...MAJAMBAZI WAVAMIA BANK NA MABOMU MBAGALA NA KUUWA WALINZI


Benki ya Access Tawi la Mbagala Rangi Tatu kuna tukio la Ujambazi limetokea muda huu!
Kwa mujibu wa polisi kanda maalum, majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na polisi na kuzidiwa nguvu.