Jumuiya mbalimbali zisizo za serikali zimetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wanakijiji huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Innocent Segihobe ambaye ni Katibu Mkuu wa jumuiya zisizo za serikali amesema uchunguzi huo unapaswa kuweka wazi majukumu ya kufanya baada ya mauaji ya wanakijiji cha Nyanzale katika eneo la Rusthuru huko Kivu Kaskazini, Congo DR. Segihobe amewatuhumu viongozi wa kisiasa wa eneo la Rusthuru kwamba wanahusika katika kudumisha machafuko na mapigano huko Kivu Kaskazini.Mapigano yaliyotokea baina ya wakimbizi na wakazi wa kijiji cha Rusthuru yalianza baada ya kupatikana maiti ya mkimbizi mmoja katika eneo hilo. Wakimbizi hao wanawatuhumu wanakijiji kuwa ndio waliomuua mkimbizi mwenzao.Watu watano wameripotiwa kuuawa na nyumba zaidi ya 40 kuteketezwa kwa moto katika machafuko hayo. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Rusthuru wamekimbilia katika kambi za askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa
CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA
CHOMBEZO FUPI: UTAMU WA MADAM JESCA Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea. Mawazo yangu yote yalikuwa kwa madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha. Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita. Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne. Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili. Hatimaye mwalimu akatoka na baada ya nusu saa nikaondoka kuelekea nyumbani kwa madam Jesca. Niliingia baada ya kuwa nimegonga hodi. “We Joshua mbona muda wa vipindi hivi we umekuja huku..” aliniuliza huku macho yake yakionyesha mshangao wa waziwazi. Kanga yake aliyovaa ilikuwa imelowana na hivyo kusababisha niuone mstari wa chupi. Na kama hiyo haitoshi madam Jesca alikuwa ana k...
Maoni
Chapisha Maoni