MSANII MATONYA NA SKENDO YA KUMTAPELI MPEMBA

Shilawadu wamezinyaka za kustaajabisha kumuhusu mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Matonya kuhusu malalamiko ya kutapeliwa kutoka kwa Ally Stily mwenye makazi yake huko Unguja Zanzibar.

Ally anadai kwamba yeye na Matonya walifanya biashara ya kuuziana gari aina ya Mark X kwa makubaliano ya bei ya kiasi cha shilingi za kitanzania million 12 lakini hadi sasa Ally anadai kupewa kiasi cha shilingi millioni 7 tu!

Ally amepiga story na Soudy Brown kwqenye U-Heard ya leo December 28 na kufunguka dukuduku lake kuhusiana na mkongwe huyo wa muziki.

Ubuyu wote nimeukusanya hapa chini kwenye video hii, kazi imebaki kwako tu kubonyeza Play ili kumsikiliza Ally akitoa malalamiko juu ya Matonya.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA