Kuna msichana nilikuwa naye katika mahusiano, alikuwa ananipenda kweli na katika mapenzi ya kitandani alikuwa vizuri tu. Kasoro kitu kimoja.
Alikuwa hataki tupigane ‘denda’ wakati denda ndo ulevi wangu mie.
Nikawa najiuliza huyu binti vipi, kama ni meno anayo meupe kabisa…mdomo wala haunuki?
Sasa anakwepa nini? Maana mi naye bila denda lile tendo halijakamilika kabisa.
Aah!! Siku moja nikamfungia kazi….kabla ya tendo nikamuandaa vizuri kabisa yaani, gusa huku gusa kule mtoto kalegea mpaka basi. Nikahakikisha hajielewi kabisa….. Nikamsogezea papi (lipsi) mtoto kazipokea…..
Wacha wee!! Nikamnyonya kwa fujo mtoto hajielewi kabisa…. Mh!! Mara nikahisi kama kuna kitu mdomoni mwangu kimetokea katika mdomo wake…. Nikadhani Big G…lakini Big G gani ngumu hivyo
Mh!! Nini hiki sasa nikajiuliza, halafu sio kitu kidogo yaani kikubwa kabisa.
Wee!! Si hajitambui basi nikakitema mdomoni….
He!! Meno manne…..kudadeki kumchungulia mdomoni mdada hana meno manne ya mbele aisee niliruka nikakutana na ukuta nikajibamiza…. Aisee anafanana na zombi wee!!
Nilipozinduka nd’o nikaambiwa yule dada ana meno ya bandia na sio yale manne tu, hata mawili ya chini ni bandia….
Tuliendelea na mahusiano lakini baadaye tuliachana (sio kisa meno)
HADI LEO HAPA MBELE KWENYE KICHWA NINA BONGE YA NUNDU!! Nilivyojibamiza…..
Siku hizi nimekuwa mpole sana msichana akiniambia hapendi kushikwa manyonyo mi wala simshiki, akisema staili flani haipendi mi namuacha wala simlazimishi….. hata akisema hataki tufanye mapenzi hadi siku ya ndoa mi nakubali tu….. na mwingine alisema hataki nimshike mkono tukiwa tunatembea mi poa tu wala simshiki, kuna wa mwaka huu hataki kupigiwa simu usiku..wala mi sipigi simu jamani!!
NILISHAKOMA….NIKILIANGALIA HILI NUNDU Mwee!! Ingekuwa usiku ningekufa kwa presha Movic mie!!!
