KUELEKEA CCM MPYA YA DHANA YA MABADILIKO KUWAITA CHADEMA NYUMBU SIO SIASASA ZA KISTARABU ASEMA POLEPOLE

Hamphrey Polepole akataa matumizi ya neno "NYUMBU" kwa wanaccm kumaanisha CHADEMA, na kusema CCM mpya ni pamoja na siasa za kistaarabu.

Amesema hayo katika ukurasa wake wa twitter alipokuwa akitweet juu ya dhana ya Mabadiliko ndani ya ccm. Ndipo mmoja wa wanaccm alipochangia kwa kusema "Hakika nadhani wengi hawajalifahamu hili...endelea polepole kazi yako ni nzuri nyumbu watakoma"

Nimekuwekea hapa chini tweet husika...


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA