Mahubiri Yampoza Kakobe...Kuhojiwa na Polisi Baada ya Kuishambulia Serikali

DAR: Jeshi la Polisi limesema ni lazima litamhoji Askofu na kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe

Kuhojiwa kwa Askofu huyo kunatokana na kauli yake aliyoitoa dhidi ya Serikali wakati akiongoza ibada ya Christmas

Kamanda wa Polisi wa Dar es Salam, amenukuliwa akisema kuwa Kiongozi huyo wa kidoho alitoa maneno ya kashfa katika mahubiri yake, lakini hana taarifa kama amekamatwa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA