TIMU ya Genk ya Mbwana Samatta Yaendeleza Ushindi Ubelgiji...


Mbwana Samatta 

Baada kufanikiwa kupata ushindi Alhamisi iliyopita na hatimaye kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Europa League, klabu ya KRC Genk anayoitumikia Mbwana Samatta imeendeleza matokeo ya ushindi kwenye ligi ya Ubelgiji kwa kuitandika Zulte-Waregem kwa goli 1-0.

Bao pekee kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa nyumbani wa Genk (Cristal Arena) limefungwa na Alejandro Pozuelo dakika ya 80.

Katika mechiyo, Samatta alicheza kwa dakika 87 kabla ya kumpsha Kumordzi.

Genk iko nafasi ya tatu kati ya timu 16 kwenye msimamo wa ligi imefikisha pointi 10 baada ya kucheza mechi tano

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA