SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 28 Agosti 2016

T media news

Mzee huyu raia wa Indonesia ana umri wa miaka 145.

Miaka 145..

Anasema anatamani kufa kwani watoto wake wote na wake watano wameshaaga dunia na sasa anajiskia mpweke sana.
Serikali ya Indonesia imethibitisha kwamba alizaliwa 1870 na yeye mwenyewe anasema alitarajia na kujiandaa kufa miaka 23 iliyopita lakini miungu wa kifo hakumpokea.
Kama ni wewe ungefanyaje?