SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 30 Agosti 2016

T media news

PICHA ZA KUNDI LA YAMOTO BAND WAKIWA COKE STUDIO

Kundi mahiri la muziki Tanzania,YaMoto band wamepata shavu la kushiriki kwenye coke studio huko nchini Kenya.

Yamoto band wamepost picha masaa machache yaliyopita kwenye account yao ya instagram wakionyesha wakiwa ndani ya studio hizo nchini Kenya.