BREAKING NEWZZZ : Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine kadhaa watemwa
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 WATIMULIWA RASMI UANACHAMA WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF). Wengine wapewa onyo kali.
HAYO NI MAAMUZ YA BARAZA KUU LILILOKETI LEO HUKO ZANZBAR.
KWA TAARIFA ZAIDI FUATILIA PRESS CONFERENCE YA CHAMA KESHO SAA 5 ASUBUH ITAKAYOSOMWA NA MHE. MAZRUI
Wabunge Magreth Sakaya na Mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama
Maoni
Chapisha Maoni