Spika Job Ndugai afanya mazungumzo na Spika Mstaafu Anne Makinda


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akikabidhiwa zawadi ya Busati toka kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania, katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma . (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA