JE WAJUA??




Kuanzia miaka ya 1960  nchi nyingi za Afrika zilianza kupata Uhuru kutoka kwa watawala tofauti tofauti, Harakati za Uhuru katika nchi hizo zilianza Baada ya vita kuu ya Pili ya Dunia na atimae kufika miaka hiyo ya 60 taratibu nchi moja moja zikaanza kutwaa nchi zao, Kuna jambo ambalo pengine watu wengi hawalijui. Baada ya nchi hizo kupata Uhuru, watawala wa kwanza kipindi hiko walizibadilisha Majina nchi zao kutoka majina Yale waliyoyatumia Wakoloni na kureta majina yao yenye Asili na maana mbali mbali za kiafrika.. Na Majina mengi wakati huo yalikuwa yakiishia na Herufi "IA" Mfano:-
ZAMBIA
NAMIBIA
TUNISIA
GAMBIA
TANZANIA nk

Je wajua maana ya Herufi IA? Herufi IA ni kifupisho cha maneno "INDEPENDENT AUTHORITY" (Mamlaka huru) hii ilikuwa ni kama Identity kuonyesha nchi hii kwa sasa ni Mamlaka iliyo huru inajiendesha yenyewe na kujiamlia mambo yake... Wangapi mlikuwa mnalijua hilo

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA