Ratiba ya mechi za EFL zitakazo chezwa wiki hii


 

Wiki hii tena timu zinazoshiriki ligi mbalimbali zinakutana kwenye ligi moja ya EFL CUP, itakayozikutanisha timu kadhaa za ligi mbalimbali.

November 30 ya mwezi huu unazikutanisha timu nne zinazoshiriki ligi kuu ya England,na huwenda mambo yakawa safi kwa timu kubwa mbili kati Manchester na Arsenal.

Orodha ya mechi zitakazo pigwa November 30 ya mwezi huu.
Arsenal vs SouthamptonManchester united vs West harm United.Bongoswaggz itakusogezea mechi hii na utaitazama hapa live hapo kesho mida ya saa 2 usiku

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA