Kituo kikubwa cha Runinga kutoka Nigeria SoundCity TV jana kilitaja majina ya wasanii walio chaguliwa kwenye vipengele mbalimbali kwenye Tuzo zao za SoundCityMVP2016, msanii aliyeongoza kutajwa kwenye vipengele vingi ni Wizkid akiwa ametajwa kwenye vipengele nane, Wengine ni Yemi Alade, Tekno na Tiwa Savage wote kutoka Nigeria.
Tanzania kwa mara nyingine hakukuwa na Surprise yoyote kwani majina ndiyo yale yale inapokuja suala la Tuzo za kimataifa, na majina ya wakilishi wa Tanzania ni Diamond Platnumz kaingia kwenye Vipengele viwili vya Best Male na African Artist of the Year, Huku Vanessa Mdee akiingia kwenye kipengele kimoja cha Best Female, Navy Kenzo nao wameingia kwenye kipengele kimoja cha Best Group/Duo na Ali Kiba akikamilisha list ya Watanzania kwenye kipengele cha Video Of The Year na wimbo wake wa Aje.
Hii ndiyo List ya Vipengele vyote
BEST MALE
DIAMOND PLATNUMZ (TANZANIA)
EMTEE (SOUTH AFRICA)
WIZKID (NIGERIA)
FALZ (NIGERIA)
OLAMIDE (NIGERIA)
PATORANKING (NIGERIA)
PHYNO (NIGERIA)
BEST FEMALE
TIWA SAVAGE (NIGERIA)
VICTORIA KIMANI (KENYA)
YEMI ALADE (NIGERIA)
VANESSA MDEE (TANZANIA)
CYNTHIA MORGAN (NIGERIA)
MS VEE (GHANA)
SIMI (NIGERIA)
BEST HIP HOP
CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)
OLAMIDE (NIGERIA)
CDQ (NIGERIA)
EMTEE (SOUTH AFRICA)
EL (GHANA)
RIKY RICK (SOUTH AFRICA)
STANLEY ENOW (CAMEROON)
PHYNO (NIGERIA)
BEST POP
WIZKID (NIGERIA)
KISS DANIEL (NIGERIA)
TEKNO (NIGERIA)
YEMI ALADE (NIGERIA)
ADEKUNLE GOLD (NIGERIA)
TIMAYA (NIGERIA)
TIWA SAVAGE (NIGERIA)
DIGITAL ARTISTE OF THE YEAR
PSQUARE (NIGERIA)
WIZKID (NIGERIA)
A.K.A (SOUTH AFRICA)
TIWA SAVAGE (NIGERIA)
DAVIDO (NIGERIA)
CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)
TEKNO (NIGERIA)
BEST COLLABORATION
MR EAZI FT EFYA – SKINTIGHT (NIGERIA / GHANA)
PATORANKING FT SARKODIE – NO KISSING (NIGERIA / GHANA)
EDDY KENZO FT NINIOLA – MBILO MBILO REMIX (UGANDA / NIGERIA)
EMTEE FT WIZKID & AKA – ROLL UP (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ MAPHORISA FT WIZKID & DJ BUCKZ – SOWETO BABY (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
PHYNO FT OLAMIDE – FADA FADA (NIGERIA)
OLAMIDE FT WANDE COAL – WHO YOU EPP (NIGERIA)
HARRY SONG FT OLAMIDE, KCEE – RAGGAE BLUES (NIGERIA)
MASTERKRAFT FT FLAVOUR & SARKODIE – FINALLY (NIGERIA / GHANA)
VIDEO OF THE YEAR
PANA BY TEKNO DIRECTED BY CLARENCE PETERS (NIGERIA)
AJE BY ALIKIBA, DIRECTED BY MEJI (NIGERIA)
BABANLA BY WIZKID DIRECTED BY SESAN (NIGERIA)
ONE TIME BY A.K.A DIRECTED BY AKA & ALESSIO
SIN CITY BY KISS DANIEL DIRECTED BY H2G FILMS (NIGERIA)
EMMERGENCY BY D’BANJ DIRECTED BY UNLIMITED L.A (NIGERIA)
MADE FOR YOU BY BANKY W DIRECTED BY BANKY W (NIGERIA)
GBAGBE OSHI BY DAVIDO DIRECTED BY SLASH (NIGERIA)
PRAY FOR ME BY DAREY DIRECTED BY MEX (NIGERIA)
BEST GROUP OR DUO
SAUTI SOL (KENYA)
MAFIKIZOLO (SOUTH AFRICA)
MICASA (SOUTH AFRICA)
NAVY KENZO (TANZANIA)
R2BEES (GHANA)
TOOFAN (TOGO)
PSQUARE (NIGERIA)
VVIP (GHANA)
SONG OF THE YEAR
KWESTA FT CASSPER NYOVEST – NGUD (SOUTH AFRICA)
MR EAZI – HOL UP (NIGERIA)
PATORANKING FT SARKODIE – NO KISSING (NIGERIA)
WIZKID – BABANLA (NIGERIA)
TEKNO – PANA (NIGERIA)
EMTEE FT WIZKID – ROLL UP (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ MAPHORISA FT WIZKID & DJ BUCKZ – SOWETO BABY (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
OLAMIDE FT WANDE COAL – WHO YOU EPP (NIGERIA)
D’BANJ – EMMERGENCY (NIGERIA)
BEST NEW ARTISTE
KOKER (NIGERIA)
YCEE (NIGERIA)
MR EAZI (NIGERIA)
EMTEE (SOUTH AFRICA)
SIMI (NIGERIA)
NINIOLA (NIGERIA)
TEKNO (NIGERIA)
NASTY C (SOUTH AFRICA)
VIEWERS CHOICE
MR SOLDIER – FALZ FT. SIMI (NIGERIA)
BABANLA – WIZKID (NIGERIA)
OSINACHI BY HUMBLESMITH FT DAVIDO (NIGERIA)
PANA BY TEKNO (NIGERIA)
HOLLUP BY MR EAZI (NIGERIA)
PICK UP – ADEKUNLE GOLD (NIGERIA)
MAMA – KISS DANIEL (NIGERIA)
LISTENERS CHOICE
LAGOS TO KAMPALA – RUNTOWN FT WIZKID (NIGERIA)
BABANLA – WIZKID (NIGERIA)
OMO ALHAJI – YCEE (NIGERIA)
PANA BY TEKNO (NIGERIA)
WHO YOU EPP – OLAMIDE FT WANDE COAL (NIGERIA)
OLUWA NI – REEKADO BANKS (NIGERIA)
PICK UP – ADEKUNLE GOLD (NIGERIA)
SKINTIGHT – MR EAZI FT EFYA (NIGERIA / GHANA)
AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
WIZKID (NIGERIA)
VANNESSA MDEE (TANZANIA)
DIAMOND PLATINUMZ (TANZANIA)
SARKODIE (GHANA)
YEMI ALADE (NIGERIA)
OLAMIDE (NIGERIA)
AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR
DJ MAPHORISA (SOUTH AFRICA)
GOSPEL ON THE BEAT (NIGERIA)
MASTERKRAFT (NIGERIA)
YOUNG JOHN (NIGERIA)
LEGENDURY BEATS (NIGERIA)
SESS THE PROBLEM KID (NIGERIA)
Tuzo hizo zitafanyika Jijini Lagos, Nigeria kwenye ukumbi wa Eko Hotel Tarehe 29 Desemba 2016, Na zoezi la upigaji kura limeanza jana mpaka Tarehe 27 Desemba unaweza kumpigia kura msanii wako umpendae