SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 30 Novemba 2016

T media news

BENKI ya CRDB Yafunguka Kuhusu Tetesi ya Kuwa Imepata Hasara Kubwa Mwaka Huu

Benki ya CRDB imesema haijapata hasara kama tetesi zinavyoenezwa. Imesema kuwa imepata faida ya Bilioni 63 kwa kipindi cha Januari hadi Septemba, 2016. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Charles Kimei amesema mwaka huu wamepanga kufungua matawi 75 na kuajiri wafanyakazi 460.

Dkt. Kimei amesema mwaka jana pekee wamefungua matawi 70 na kuajiri watu 450 jambo ambalo benki nyingi nchini haziwezi kufikia.