Rayvanny Ampigia Salute Ali Kiba, Amtaja Katika Wasanii Wanaofanya Vizuri

MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond Platinumz kwa miaka mingi.

Akifanya mahojiano na Global TV Online, rayvanny amewataja wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini Tanzania hasa katika tasnia ya muziki ambapo mbali na Kiba alimtaja pia Diamond na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwamba wanaipeperusha vyema bendera ya Tanzania Kimataifa.

 VIDEO;


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA