Watazamaji wa Wimbo wa Belle 9 'Masogange' Waongezeka Ghafla Youtube

Kwanza tupeane pole kwa Msiba wa ndugu yetu Agnes.
Kurudi kwenye mada nimepitia kwenye Youtube Channel na nimegundua watazamaji wengi sana wemeutazama huu wimbo kipindi hichi ili kumuona Agnes au Masogange kama alivyofahimika baada ya kushiriki kwenye wimbo wa video hii.

Kabla ya hapo watazamaji wa huu wimbo na wachangiaji walikuwa wachache wasiofikia hata laki moja. Hivi niandikapo kuna watazamaji zaidi ya laki mbili na nusu na watoa maoni zaidi ya mia nne.

Basi na wewe kama bado hukuwahi kuutazama wimbo huo wa Masogange uliompa umaarufu Marehemu Aggy mpaka akaitwa Masogange nimekuwekea hapa chini utazame

VIDEO:


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA