Tamasha la Mtanzania Lafunika Uingereza

Baada ya kufikia malengo yake ya mwaka 2017 kwa kufanya matamasha matatu makubwa nchini Ujerumani yaliyofana, Emanuel Austin ambaye ni mwalimu wa dansi (Choreographer) nchini humo ameanza mwaka 2018 kwa kitu kikubwa zaidi.

Austin ambaye ni mmiliki wa chuo cha dansi cha Tanzschule Weiss akishirikiana na mkewe Larissa Bertsch kilichopo katika mji wa Frankfurt, Jumapili ya April 22 wameandaa tamasha kubwa ambalo lilijaza nyomi ya watu takribani 12,000.
Tamasha hilo limefanyika kwenye ukumbi wa Abschlussball. Akiongea na Bongo5, mwalimu huyo amesema tamasha hilo lilikuwa kali na lilifaana zaidi kitu ambacho kimeonyesha ni mwanzo mzuri kwao katika mwaka huu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA