Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu. Chanzo kutoka kwa mtu wake wa karibu kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
T MEDIA NEWS Blog inafuatilia kwa karibu kukujuza nini ambacho kinaendelea kuhusiana na msiba huo.
habari michezo na burudani