SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 23 Aprili 2018

T media news

Masogange Ameacha Mtoto wa Darasa la Saba ...... Bongo Movie Wachangia Milioni Mbili za Kumsomesha


Marehemu Agness Masogange ameacha mtoto mmoja wa kike ambaye kwa sasa anasoma darasa la saba, na tayari Waigizaji wa filamu nchini Tanzania (Bongo Movie) wamemchangia kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya kumsomesha, hayo ni kwa mujibu wa Zamaradi Mketema ambaye ndiye aliyethibitisha taarifa hizo leo Aprili 22, 2018 wakati wa kuuaga mwili wa marehemu katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaam.