SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 23 Aprili 2018

T media news

Taarifa ya Meya wa Ubungo kuvamiwa nyumbani

Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Meya wa Ubungo Boniface Jacob kumeandikwa yafuatayo

“Askari wenye uniform za JWTZ watatu na mmoja wao amevalia kiraia na ana video camera,”
“Wameiweka familia chini ya ulinzi, wanapekua kila mahali vyumbani bila mimi mwenye nyumba,polisi, Mjumbe kuwepo…naelekea huko muda huu” hayo ndio yaliyoandikwa kwenye ukurasa wa Twitter wa Meya Boniface Jacob.