Marekani Waonyeshana Ubabe na Korea Kaskazini..Wapanga Nao Kuanza Kufyatua Makombora ya Masafa Marefu..!!!


Idara ya jeshi nchini Marekani imesema  kwa mara ya kwanza itajaribu kudungua kombora la masafa marefu lililo na uwezo wa kufyatuliwa kutoka bara moja hadi bara lingine.

Maafisa wa Pentagon wanasema jaribio hilo litafanyika Jumatano, wiki ijayo licha ya kuwepo na wasiwasi mjini Washington kuhusu uboreshaji wa miradi ya kinyuklia na makombora ya masafa marefu ya Korea Kaskazini.

Wasiwasi huo umeonekana kwa taifa la Marekani kuhusu mpango wa Korea ya Kusini wa kutengeza makombora mbali na mpango wake wa Kinyuklia, ambao una uwezo wa kutengeneza kombora lenye uwezo wa kufikia Marekani.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA