TANZIA:Mnamo 25/05/2017 majira ya saa 3 usiku,Majambazi waliwavamia wavuvi waliokuwa wameenda kuvua ziwa Victoria maeneo ya kijiji cha GUTA"A"waliwashambulia kwa kuwapiga na kuwaamuru wajirushe ndani ya maji,Baada ya kujirusha majambazi hao waliondoka na mtumbwi,wavuvi hao walikuwa wawili,mmoja aliogerea hadi nchi kavu na kuokoa maisha yake na kuyoa taarifa kwa wananchi.mmoja alipoteza maisha,Aliyefariki ni ndg LENARD JOCKTAN mwenyeji wa NYAMBONO,Aliyenusurika ni ndg MAGAI MGAYA mkazi WA kijiji cha GUTA "A", mwili wa marehemu umeokolewa leo asbh na kusafirishwa kwenda nyambono kwa ajili ya mazishi,Hao ni watu wanaosubiria polisi ili mwili wa marehemu ufanyiwe vipimo.mwili wa marehemu ni huo hapo mbele unaoonekana ukiwa majini kwa ajili ya kusubiria askari,
R.I.P LENARD JOCKTAN,Mbele yako nyuma yetu,