Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma May 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo, Magreth Sitta (katikati) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)