USIKU WA KALE WARINDIMA DAR LIVE,WAACHA GUMZO KONA ZOTE

Bi. Mwanahawa Ally wa Zanzibar Stars akiimba.

Sabaha Salum akionyesha mashabiki utamu wa sauti yake.

Khadija Kopa wa TOT akitoa burudani.

Mashabiki wakiselebuka katika midundo ya ala mbalimbali.

Khadija Yusuf (kushoto) akicheza mbele ya Sabaha Salum.

Ikbar wa All Stars akighani.

\

Mustafa Ramadhani wa Egyptian Taarab akifanya vitu vyake.

Abdul Misambano wa Babloom Taarab akiburudisha.

ONYESHO la taarabu lililopewa jina la Usiku wa Kale ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem,  lilikuwa la aina yake ambapo mashabiki walifaidi kila sekunde ya tukio  hilo.

Usiku huo ulioshirikisha bendi za zamani za taarabu za Muungano, Babloom, TOT, Egyptian Taarab, East Africa Melody,  Zanzibar Stars, All Stars  ulikuwa wa burudani ya aina yake kutokana na nyimbo zilizokuwa zikiimbwa kuwakumbusha ‘mbali’ mashabiki.

(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA