Na
Mdude Nyagali
Rais wa nigeria aliyetokea upinzani na kukiangusha chama tawala Muhammadu Buhari ametangaza rasmi kuwa kuanzia sasa serikali yake itaanza kuwalipa maskini wote nchini nigeria wanaokadiliwa kuwa milion 8 kila mwezi sh.55,000/-
Wakati buhari akifanya kweli kuwatumikia maskini kwa kuwalipa mshahara. Rais buhari ameweza kuwalipa maskini kila mwezi baada ya kufumua mikataba mibovu ya madini na mafuta iliyokuwa imesainiwa na watangulizi wake Rais aliyetoka chama cha Upinzani nchi zambia hayati samuel sata alifanikiwa kuwapandishia mshahara walimu,manesi na police mara 3 ya ule waliokuwa wanapokea awali kwa kuwa alifumua mikataba mibovu kwenye nchi yake.
Wakati nchi za wenzetu wanaendelea kupiga hatua kusonga mbele kupunguza umaskini sisi tanzania tunapiga hatua kurudi nyuma kuongeza umaskini..Na tukiendelea kuikumbatia ccm basi tutaendelea kuwa maskini mpaka YESU atakaporudi
By
Mdude Nyagal