RYAN GIGGS AZIDISHA MICHEPUKO MKE WAKE KAAMUA KUFANYA MAAMUZI HAYA .

Winga wazamani  wa klabu ya Manchester united ‘Ryan Giggs’ ametengana na mke wake Stacey baada ya tuhuma kuwa Giggs ameanza tena tabia yake ya kumsaliti na wanawake tofauti.

Tuhuma hizi zimeibuka tena baada ya ukaribu wa kimapenzi wa Giggs na mfanya kazi wake wa kike kwenye mgahawa wake uliopo mjini Manchester.

Giggs na mke wake walifunga ndoa September 2007,katikati hapa Gigs alihusishwa kumsaliti mke wake na wanawake kama model Imogen Thomas na mke wa mdogo wake Natasha Lever ila alitumia nguvu na pesa kuzuia stori hizi kusamba kitu ambacho kilishindikana kwa asilimia 100.

Taarifa mpya zinasema mke wa Giggs anataka talaka yake sasa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA