PICHA YA MELI KUBWA ZAIDI DUNIANI INABEBA ABIRIA 6780

Watengenezaji wa meli wamesema hii ndio meli kubwa zaidi duniani itakayokuwa ikibeba abiria. Meli hii imepewa jina la Harmony of the Seas.

Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,  kwa wiki kutembea na hii meli ni £900 kwa mtu mmoja, ila kwenye eneo la bata ni £2,760 kwa mtu mmoja.

Watengenezaji wa meli hii wanasema imechukua miezi 32 kujenga meli hii ya Harmony of the Seas, ni meli ya 25 kwenye meli za Royal Caribbean International fleet.



















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA