MWANAMKE ANAYEDHANIWA KUWA NA ULIMI MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

Msichana Chanel Tapper, 21 wa Houston huko Us amethibitika kuwa ndiye msichana mwenye ulimi mrefu kuliko wote Duniani na kuingizwa katika rekodi za Guinness.Mwezi September 2011 alialikwa na Guinness huko Los Angeles na kupimwa urefu wa

ulimi wake ambapo ulithibitika kuwa na urefu wa sm9.7 na kuwashinda wapinzani wake wawili.

Alieleza kuwa haoni tabu yoyote kuwa hivyo bali anachukulia kama kitu cha kufurahisha

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA