SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 14 Mei 2016

T media news

MREMBO ANAYEDAWIA KUTEMBEA NA DIAMOND PLATINUMS KUMBE DENTI


Mrembo anayedaiwa ‘kutembea’ na Diamond, Irene Hilaly  ‘Lynn’.

Stori: Mayasa Mariwata, 

BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly  ‘Lynn’ kumbe ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi Centre aliyeacha masomo akiwa kidato cha tatu mwaka jana.