MKUU WA MKOA WA MBEYA MH MAKALA ATEMBELEA WAKALA WA BARABARA TANROADS


 

Mkuu wa mkoa wa Mbeya atembelea Wakala wa Barabara( Tanroads) na kuwataka kuacha mahusiano yasiyo ya kikazi na Wakandarasi ili kuwasimamia vizuri wakandarasi kujenga barabara kwa kiwango cha juu, kujenga Barabara na kumaliza ujenzi kwa mujibu wa mkataba na pia kuwachukulia hatua wakandarasi wazembe na wasiojenga Barabara kwa kiwango cha kuridhisha

Amesema mkizoeena sana na wakandarasi mtashindwa kuchukua hatua na mtasababisha kupokea barabara zisizo na viwangoAidha amewataka kuharakisha usanifu wa upanuzi wa barabara ya uyole kupita katikati ya jiji hadi mbalizi ili kupunguza msongamano wa magari uliopo sasa
 




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA