MANCHESTER UNITED YADORORA KATIKA TAKWIMU ZA EPL 2015-16

Manchester United waliikaribisha Bournemouth katika dimba la Old Trafford na kushinda magoli 3-1 yaliyofungwa na Rooney, Rashford na Young huku Smalling akiwazawadia goli  la kujifunga Bournemouth. Takwimu za msimu mzima za timu hiyo kutoka jiji la Manchester ni kama ifuatavyo kati ya timu 20 za ligi kuu.

Pasi za nyuma 3107- Nafasi 1

Pasi katika theluthi ya mwisho 2327-Nafasi 14

Pasi za pembeni 9718-Nafasi 3

Mashuti yaliyolenga goli 139- Nafasi 15

Nafasi zilizotengenezwa 301- Nafasi 18

Magoli 46-Nafasi ya 11

Uwiano wa kumiliki mchezo 58.23%- Nafasi 2

Mashuti 418- Nafasi ya 16



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA