SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 3 Mei 2016

T media news

LEAKED: Ngoma mpya ya Harmonize & Raymond ‘Penzi’,

Wakati ngoma za ‘Bado’ ya Harmonize ft Diamond inaendelea kufanya vizuri na ‘Kwetu’ ya Raymond inaendelea kufanya vizuri, leo Mei 2 2016 Harmonize na Raymond wameingia kwenye headlines baada ya ngoma yao waliofanya pamoja ya ‘Penzi’ kuvuja, millardayo.com imeinasa na kukusogezea track hiyo: