Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana. Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo..
Tazama VIDEO: