SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 29 Januari 2018

T media news

Katibu wa ccm (w) bunda atatua mgogoro wa wafanya biashara ya kuku soko kuu


Wafanya biashara wa kuuza kuku katika soku kuu la bunda wamefika ofisi ya katibu wa ccm walaya ya bunda nakutoa kelo wanazo fanyiwa na mkuu wa soku, kelo zilizowakilishwa kwa katibu ni mkuu wa soku kumwaga dawa kwenye meza  inayozaniwa kua ni sumu iliwasiweze kufanya kazi yao ya kunyonyoa kuku uku mkuu uyo wa soko aliye famika kwa jina moja la mafuru akiwataka kukodi chumba cha kufanya kazi iyo wakati wafanya biashara awo wakidai awana uwezo wa kulipa pango la chumaba cha biasha kwa gharama ya sh 360000. Baada ya masikilizano katibu aliongozana na kamati yake ya utekelezaji kufika heneo la soko kujionea ali alisi  baada ya kujionea katibu wa ccm alilazimika kumuita mkurugezi wa mji wa bunda mkurugezi akuwepo akaja ndg said ngomesha kwa niaaba ya mkulugezi baada ya majadiliano ya muda katibu akamtaka  mkuu wa soko  kuwaacha wafanya biashara hao kufanya biashara na kuwaludishia baadi ya vifaa vyao vyakazi walivyo shikiwa na mkuu uyo wa soko, uku akimtaka mkurugezi na mkuu wa soko kuanda sehemu inayo kubalika kwa kwa mujibu wa kanuni za afya, na kuwashilrikisha wafanya bishara awo kupata sehemu sahihi kwa bei nzuri watakayo weza kuimudu.