CCM hii siyo ile ya kupakia Twiga kwenye ndege....!
CCM hii siyo ile ya viongozi kujigawia vitalu vya uwindaji........!
CCM hii siyo ile ya kufanya biashara ya pembe za ndovu.
CCM hii siyo ile ya kufanya biashara ya pembe za faru...
CCM hii siyo ile ya Richmond.....
CCM hii siyo ile ya Escrow........
CCM hii siyo ile ya kugawana kodi zetu kwenye migodi.....
CCM hii siyo ile ya EPA wala siyo ile CCM ya wapiga dili..
KWELI HII SIYO CCM ILIYOKUWA MOYONI KWA NYALANDU!!