SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 29 Julai 2017

T media news

DAVID Kafulila Apewa Tuzo....Sakata la Escrow Lamweka Kwenye Ramani Upya....

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusi David Kafuli amepewa Tuzo ya Heshima  Mpiga Filimbi katika vita vya Ufisadi.

Tuzo hiyo amepewa baada ya kuibua hoja zilifichua Ufisadi na Mafisadi waliokula pesa na kubadhilisha Maslahi ya Umma.

Ujasiri wa Kafulila kuibua masuala hayo ndio ulimuibua kwenye Tuzo hiyo aliyopewa na Watetezi wa Haki za Binaadamu VIDEO: