SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 28 Julai 2017

T media news

BREAKING News: Wasira Aangukia Pua Tena...Rufaa Yatupiliwa Mbali

Mahakama ya Rufani imetupia mbali rufaa iliyokatwa na wapiga kura 4 wa Jimbo la Bunda Mjini kupinga ushindi wa Mbunge, Esther Bulaya.