Aliyekuwa meneja wa mifumo ya mawasiliano ya kompyuta wa tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) CHRIS MSANDO auwawa na mwili wake umepatikana ukiwa umeharibika huku mkono mmoja ukiwa haupo.
Ikumbukwe Tume hiyo ilitoa taarifa Jana police juu ya kutoweka gafla kwa meneja Huyo toka siku ya ijumaa ya julai 28 mwaka huu na hakujulikana alipo.
CHRIS MSANDO, ndio aliyekua msimamiza wa mfumo wa kielekroniki wa watokeo ya uchaguzi. Hii inamaana kwamba yeye ndio alikua mhakiki wa kwanza wa matokeo kabla hayajatangazwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
Sababu za kifo chake hazijajulikana bado uchunguzi unaendelea
RIP CHRIS MSANDO .