SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 1 Juni 2016

T media news

MAISHA HAYA NDIYO YANAMFANYA MBWANA SAMATA KUCHEZA EUROPA MSIMU UJAO.

Mbwana Samata sio jina geni masikioni mwa watanzania hasa baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Africa kwa wanaocheza ndani ya Africa.kwa sasa umaarufu wa Samata umeongezka zaidi baada ya kusajiliwa na timu ya KRC GENK ya Ubelgiji.Shauku kubwa ya watanzania imeongezeka baada ya kuisaidia timu yake kushiriki michuano ya EUROPA kwa msimu ujao wa 2016/17.

Lakini haikuwa rahisi kwa Mbwana kufika pale hebu tazama video hii jinsi anavyoishi kwa displine kubwa huko nchini ubelgiji.