SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 1 Juni 2016

T media news

ILE SINEMA YA UCHAGUZI WA YANGA YAENDELEA HAPA,UONGOZI WA YANGA WATOA MSIMAMO WAO.

Uchaguzi wa yanga umekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kati ya YANGA,TFF na BMT. Lakini pamoja na yote hayo kutokea uongozi wa yanga leo umejitokeza na kutoa tamko la mwisho kuhusu lini uchaguzi huo utafanyika na pamoja na katiba ipi itatumika na kutoa maelezo ya  kadi gani zatatumika kama nanyoelezea hapa katibu wa yanga Baraka Deusdedit.