Diva Azungumzia Mabusu yake na GK Yaliyozua Mjadala Mtandaoni Diva Azungumzia Mabusu yake na GK Yaliyozua Mjadala Mtandaoni


Diva the Bawse anasema hataki kusikia kitu kinachoitwa ‘mila na desturi’ za Mtanzania hasa pale anapofanya kitu kinachompa furaha.
Wiki hii mtangazaji huyo wa Clouds FM amesababisha mjadala mkubwa kwenye Instagram baada ya kupost video inayomuonesha akipigana French kiss na mpenzi wake rapper GK.
“Trying kanye west n kim k yummy tongie crazyyy kiss… guess what. wedding very soon #theregoesmybabyyyyy,” aliandika kwenye video hiyo.
“Nataka niishi the life that I want, mimi I don’t live to please anyone. I just live me as Diva, I just want to be happy,” Diva ameiambia Bongo5.
“The kiss to happiness – tongue kiss is the key to happiness ndio maana mimi sioni ajabu kumkiss mtu.” Mtazame Hapa:



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA