COMMENT YA INSTAGRAM YAMWINGIZA CASILLAS MATATIZONI

Iker Casillas ameingia katika kashfa nzito ya ubaguzi baada ya kutoa comment ya kibaguzi (isiyo na nia mbaya) kwa mchezaji mwenzake wa Porto raia wa Korea Kusini Suk Hyun-Jun. Kwa sasa ukurasa huo wa Instagram wa mchezaji huyo wa Kikorea haufunguki.

Hata hivyo, watu wengi walii-screenshot comment hiyo na kuisambaza katika kurasa zao za Twitter kutokana na kile alicho-comment Casillas juu ya mchezaji huyo wa Korea Kuisini.

Hyun-Jun aliposti picha akiwa na rafiki yake, sasa ukweli ni kwamba watu wa asili ya Ki-asia wana macho madogo mithili ya mtu ambaye amefumba macho.

Casillas ali-comment hivi: “fungua macho yako!!” na Mkorea huyo akajibu “Open amigo”.

 



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA