Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2018

Rais wa Zanzibar Dkt Shein afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amafanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilishia Wizara baadhi ya Mawaziri. Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais; na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale. Aidha, amewateua Naibu Mawaziri wapya wawili na kumbadilisha Wizara Naibu Waziri mmoja. Kufuatia mabadiliko hayo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi sasa itakuwa na Wizara 14 zenye Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo: OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZIWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi- Mheshimiwa Issa Haji Ussi GavuOFISI YA RAIS, KATIBA SHERIA, UTUMISHI WA UMMA NAUTAWALA BORAWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Katib...

NEC Yamjibu Mbowe Yamtaka Akasome "Hapaswi Kiongozi Kama Yeye"

Picha
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefunguka na kudai malalamiko yaliyotolewa jana (Jumanne) na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe sio ya kweli bali yamejaa upotoshaji wa hali juu ambao haupaswi kufanywa na kiongozi kama yeye. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa tume hiyo, Kailima Ramadhani baada ya kupita siku moja tokea Mhe. Mbowe kuzungumza mbele ya waandishi wa habari kuwa Tume ya Uchaguzi iliwafanyia hujuma katika kutoka viapo vya Mawakala wao kwenye chaguzi ndogo za marudio Jimbo la Kinondoni na mambo mengine. "Tume ya Taifa ya Uchaguzi haijibu malalamiko kwa matakwa ya mtu anavyotaka kujibiwa bali inajibu hoja kwa mujibu wa matakwa ya Katiba, Sheria, Kanunu na maadili ya uchaguzi na maelekezo yote ambayo yapo kwa mujibu wa sheria. Kama majibu ya tume hayakuwafurahisha CHADEMA, tume inasisitiza kuwa walijibiwa kwa matakwa ya sheria na katiba sio matakwa ya Mkurugenzi wa uchaguzi, Tume, Chadema au chama chochote cha siasa",   amesema Kailima. Aidha, Mkurugenzi Kai...

Majeruhi wa Risasi Maandamano ya Chadema Wapata Dhamana

Picha
Leo February 28, 2018 Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka la kufanya mkusanyiko isivyo halali. Hata hivyo, watu hao watatu wameunganishwa katika kesi ya wafuasi 28 wa CHADEMA ambao walifikishwa mahakamani hapo wiki iliyipita. Washtakiwa hao watatu walisomewa kosa lao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mwambapa na Wakili wa Serikali, Patrick Mwita. Wakili Mwita aliwataja washtakiwa hao watatu kuwa ni Isack Ng’aga, Erick John na Aida Olomi. Wakili Mwita amedai washtakiwa hao, March 8, 2018 wataunganishwa na wenzao 28, ambao walifikishwa mahakamani hapo wiki iliyopita. Kwa pamoja wanadaiwa kuwa  February 16, 2018 huko Kinondoni katika eneo la Mkwajuni lililopo katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, walifanya mkusanyiko usio wa Halali kinyume cha sheria. Inadaiwa kuwa mkusanyiko huo ulikuwa na nia ya kufanya uvunjifu wa amani na kusa...

Wabongo Kibongo Wamuombea Msamaha Daimond kwa Zari

Picha
Wakati rais wa WCB, Diamond Platnumz akiwa busy na maandalizi ya uzinduzi wa Wasafi Redio na Wasafi TV, mashabiki wa muimbaji huyo bado wanaendelea kumbembeleza aliyekuwa mama watoto wa muimbaji huyo, Zari The Bosslady arudishe moyo nyuma. Zari na Diamond Mfanyabiashara huyo wa kike machachari Afrika Mashariki alimuacha baba watoto wake, Diamond kwa madai amekuwa ni mwanaume ambaye amekuwa akimzalilisha na kumkosea heshima. Katika siku ya wapendanao, Zari aliandika ujumbe mzito wakumuachana Diamond hali ambayo aliwashtuwa watanzania wengi hasahasa mashabiki wa Diamond. Diamond mpaka sasa hajazungumza chochote juu ya hilo lililotokea, lakini mashabiki wake wameamua kumuombea msamaha muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya muziki. Huu hapa chini ni ujumbe wa mashabiki hao kwa Zari waliouandika kupitia mtandao wa kijajii wa Instagram. aminamoha10 Zari mrudie tu Diamond hakuwa na nia mbaya ndio maana ilikuwa hadharani sema midomo ya watu na media inatia sana chumvi il...

Jaji Mkuu Aitaka Serikali Kuishirikisha Mahakama

Picha
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma ameishauri Serikali kuishirikisha Mahakama kwenye mipango yake ya uanzishaji wa maeneo mapya ya kiutawala ili kupunguza changamoto za upatikanaji wa haki kwa wananchi. Akizungumza wakati wa ziara yake mjini Kigoma, Jaji Mkuu amesema mipango ya Serikali ya uanzishwaji wa Wilaya au Mikoa uzingatie pia uanzishwaji wa Mahakama na kwamba, Mikoa na Wilaya mpya ndizo zenye ukosefu wa Mahakama hali inayowafanya wananchi kufuata mbali huduma za Kimahakama. Akitolea mfano wa Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora, Jaji Mkuu amesema, kutokana na Wilaya hiyo kuzunguka Mkoa, wananchi wake hulazimika kufuata huduma za Mahakama Kuu zilizopo umbali wa zaidi ya kilometa 377. Amefafanua kwamba, kupitia Mpango wa Maboresho Mahakama itaanzisha Mahakama zinazotembea yaani Mobile Courts, kwenye maeneo yote yenye changamoto kama hizo kabla ya kujenga Mahakama kwa kuwa changamoto ya upatikanaji wa huduma za Kimahakama bado ni kubwa nchini.

Hii Ndio Kazi ya Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke Pamoja na Maana ya Rangi zake

Picha
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa  ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka. Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu  tujifunze  pamoja. Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .  Jana  niliguswa  sana na simulizi la rafiki yangu juu  ya  shanga, hivyo nikaona  boraniandike  na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi  lake.  "Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya  Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi san...

Treni ya abiria yapinduka na kuanguka

Picha
Treni ya abiria ya Shirika la Reli Tanzania iliyokuwa ikitokea mkoani Dodoma kwenda Kigoma imepata ajali katika eneo la Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza. Ajali hiyo imesababishwa na kichwa cha treni kuacha njia na kusababisha mabehewa mawili kuanguka katika dimbwi dogo la maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Martin Othieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Mpaka sasa hakuna taarifa ya vifo wala idadi ya majeruhi. Behewa kadhaa bado zimesalia kwenye njia yake baada ya ajali.

Hii Ndio Kazi ya Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke Pamoja na Maana ya Rangi zake

Picha
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa  ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka. Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu  tujifunze  pamoja. Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .  Jana  niliguswa  sana na simulizi la rafiki yangu juu  ya  shanga, hivyo nikaona  boraniandike  na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi  lake.  "Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya  Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi san...

Kumlinda Mpenzi ni Sawa na Kulinda Samaki Baharini..Ukilinda Kigamboni Wenzako Wanavua Bagamoyo

Picha
Jamani wanawake wengine hawajielewi, hawaelewi jinsi mahusiano yalivyo complex.Ngoja niende direct tuende kwenye point. Mke wangu ana tabia ambayo hakuna mwanaume wa aina yoyote atamvumilia. Nimechoka sasa ni muda muafaka wa action najua iko siku atajuta kunifahamu. Wote tunafanya kazi za kuajiriwa, hivyo tunatoka asubuhi tunarudi jioni, japo yeye anatangulia kurudi nyumbani. Sasa ana tabia ya kubeba kila umbea anaopata kutoka kwa mashosti zake na kuja kunisimulia mimi. Story za nani anatembea na nani, mke wa nani ana mahusiano na nani, mume wa nani anatembea na nani, nani ana tabia gani etc. Mimi huwa sina tabia ya kufuatilia maisha ya watu, nimejiwekea commitment kwa kazi yangu na familia yangu. Ya mtaani siyapi uzito, japo ni muhimu kujua ABC za kitaa. Moja, Kuna jirani yetu ana duka, mke wangu akapata story kuwa yule mama na mumewe ni waathirika. Mwenzangu akatangaza marufuku kwenda kununua kitu chochote pale. Nikamweleza kuwa kama ukimwi ungekuwa unaambukizwa kwa style hiyo bas...

Aliyemuhukumu Sugu Achukua Likizo

Picha
Hakimu Michael Mteite aliyemhukumu kifungo cha miezi mitano jela mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameanza likizo jana. Mteite, ambaye ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, alitoa hukumu hiyo juzi kwa Sugu pamoja na katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga baada ya kuwatia hatiani kwa kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli. Sugu na Masonga walitoa kauli hiyo Desemba 30 mwaka jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge jijini Mbeya. Hakimu huyo alipopigiwa simu jana na mwandishi wa Mwananchi aliyetaka kujua kuhusu uwepo wake likizo, kabla hata ya kuelezwa hilo alimtaka kuwasiliana na Msajili wa Mahakama. Hata alipotumiwa ujumbe wa maneno (sms) kujulishwa kwamba msajili alishalizungumzia hilo na kilichohitajika ni kauli yake, hakujibu. Awali, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, naibu msajili mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, George Herbert alisema Hakim...

TRCA Yafungia Nyimbo za Diamond, Nay wa Mitego, Roma, Young Dee na Wengine Kisaa Hichi Hapa

Picha
Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa watakaokiuka.

Aliyemuhukumu Sugu Achukua Likizo

Picha
Hakimu Michael Mteite aliyemhukumu kifungo cha miezi mitano jela mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameanza likizo jana. Mteite, ambaye ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, alitoa hukumu hiyo juzi kwa Sugu pamoja na katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga baada ya kuwatia hatiani kwa kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli. Sugu na Masonga walitoa kauli hiyo Desemba 30 mwaka jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge jijini Mbeya. Hakimu huyo alipopigiwa simu jana na mwandishi wa Mwananchi aliyetaka kujua kuhusu uwepo wake likizo, kabla hata ya kuelezwa hilo alimtaka kuwasiliana na Msajili wa Mahakama. Hata alipotumiwa ujumbe wa maneno (sms) kujulishwa kwamba msajili alishalizungumzia hilo na kilichohitajika ni kauli yake, hakujibu. Awali, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, naibu msajili mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, George Herbert alisema Hakim...

Aliyemuhukumu Sugu Achukua Likizo

Picha
Hakimu Michael Mteite aliyemhukumu kifungo cha miezi mitano jela mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameanza likizo jana. Mteite, ambaye ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, alitoa hukumu hiyo juzi kwa Sugu pamoja na katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga baada ya kuwatia hatiani kwa kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli. Sugu na Masonga walitoa kauli hiyo Desemba 30 mwaka jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge jijini Mbeya. Hakimu huyo alipopigiwa simu jana na mwandishi wa Mwananchi aliyetaka kujua kuhusu uwepo wake likizo, kabla hata ya kuelezwa hilo alimtaka kuwasiliana na Msajili wa Mahakama. Hata alipotumiwa ujumbe wa maneno (sms) kujulishwa kwamba msajili alishalizungumzia hilo na kilichohitajika ni kauli yake, hakujibu. Awali, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, naibu msajili mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, George Herbert alisema Hakim...

Kauli ya Manara Kuhusu Hali ya Bocco

Picha
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Simba SC, John Bocco ameelezwa kupona majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui FC na muda wowote ataanza kucheza kama kocha atampanga. Afisa habari wa Simba Haji Manara amethibitisha hilo wakati akijibu maswali ya mashabiki wa klabu hiyo waliokuwa wanataka kujua hali ya nahodha huyo wa Simba kupitia ukurasa wake wa Instagram. ''Niwajuze tu kuwa hali ya Bocco anaendelea vizuri na yupo tayari kucheza kama kocha atampanga'', Manara alimjibu moja ya mashabiki waliouliza. Aidha Manara ameongeza kuwa majeruhi pekee aliyebaki kwenye kikosi cha Simba ni Haruna Niyonzima ambaye hivi karibuni alipelekwa India kwaajili ya matibabu na Manara ameongeza kuwa naye yupo mbioni kurejea. Majeruhi wengine wa muda mrefu ndani ya kikosi cha Simba ambao tayari wameanza mazoezi mepesi ni mlinda mlango Said Nduda na mlinzi Salim Mbonde ambao wote wamesajiliwa msimu huu wakitokea Mtibwa Sugar.

UVCCM WILAYA YA BUNDA YAZIDI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUBORESHA SEKTA YA AFYA

Picha
February 28, 2018 Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bunda umeshiriki katika Ujenzi wa Kituo cha Afya Bunda kilichopo Kata ya Kabalimu. Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda *Ndg Gasper Charles* na Katibu wa UVCCM Wilaya *Ndg Steven E. Shija*  pamoja na Mkuu wa Wilaya *Mhe Lydia Bupilipili* wameongoza Vijana na Wanachama wa CCM katika kusaidia nguvu Kazi za Ujenzi wa Kituo cha Afya Bunda "Tunaendelea kuungamkono Serikali yetu katika Kuwahudumia Watanzania maana ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM" alisema Gasper "Uwepo wa Miradi Mkubwa kama huu ndani ya Wilaya yetu ni moja ya Fursa ya ajira kwa Vijana, tulinde Malighafi zinazotumika katika Ujenzi zisihujumiwe na wasio na nia njema na Utekelezaji wa Ilani yetu maana zinatokana na Fedha za Walipakodi" alisema Shija "Kituo hiki kikikamilika kitahudumia Wananchi wengi wa Kata tatu Nyasura, Bunda Mjini na Kabalimu, hivyo naishukuru Serikali kwa kutoa Fedha za mradi, pia nawapongeza Vijana wa CC...

Shilole na Mumewe Wasaka Mtoto

Picha
STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita kwa sasa yeye na mumewe, Ashraf Uchebe wako kwenye harakati za kusaka mtoto. Akibonga na Risasi Vibes, Shilole alisema kama kawaida ya watu wengi huwa wanatarajia tu baada ya ndoa waone matunda ambayo ni mtoto, yeye na mumewe wako kwenye kutafuta mtoto na Mungu akimjalia atapata. “Kuhusu suala la mtoto kwa kweli ndiyo tunatafuta na Mungu akipenda tutapata tu maana kila kitu hupangwa na yeye,” alisema Shilole.

Harmonize Awajibu Wanaombeza Kuwa Jaji Kusaka Watangazaji Wasafi TV

Picha
Msanii wa muziki Bongo, Harmonize amefunguka nafasi yake ya kuwa miongoni mwa majaji katika kusaka watangazaji wa Wasafi Radio na TV.  Muimbaji huyo akizungumza visiwani Zanzibar amesema yeye kuwa jaji ni nafasi ambayo anaimudu vizuri bila tatizo.  “Mimi nakutana na watangazaji kila siku nafanya interview ndani ya Tanzania na nje, so ukiwa na kipaji mimi nitajua tu na kama huna kipaji sitosita kukuambia,” amesema. Kumekuwa na baadhi ya watu wanahoji iwapo msanii huyo alistahili kuwa jaji kutokana hana uzoefu wowote wa kieledi na utendaji kazi mzima wa vyombo vya habari.

Tido Mhando asomewa maelezo ya awali Mahakamani

Picha
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemsomea maelezo ya awali mkurugenzi mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando anayekabiliwa na mashtaka matano likiwamo la matumizi mabaya ya madaraka. Kabla ya kusomewa maelezo leo Februari 28,2018 mbele ya Hakimu Mfawidhi, Victoria Nongwa, Wakili wa Serikali Dismas Mganyizi, alimkumbusha mashtaka yanayomkabili Tido anayetetewa na wakili Ramadhani Maleta. Baada ya kusomewa, Tido ambaye yuko nje kwa dhamana amekubali maelezo binafsi na kwamba alikuwa mkurugenzi mkuu wa TBC mwaka 2006 hadi 2010. Amekubali kuwa alikuwa msimamizi wa shughuli za TBC lakini si zote. Pia amekubali kutoa maelezo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kuwa alifikishwa mahakamani Januari 26,2018. Tido amekana mashtaka yanayomkabili na upande wa mashtaka katika kesi hiyo utaanza kutoa ushahidi Machi 28,2018. Anakabiliwa na mashtaka manne ya kutumia madaraka vibaya na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887.1 milioni. T...

Harmonize Awajibu Wanaombeza Kuwa Jaji Kusaka Watangazaji Wasafi TV

Picha
Msanii wa muziki Bongo, Harmonize amefunguka nafasi yake ya kuwa miongoni mwa majaji katika kusaka watangazaji wa Wasafi Radio na TV.  Muimbaji huyo akizungumza visiwani Zanzibar amesema yeye kuwa jaji ni nafasi ambayo anaimudu vizuri bila tatizo.  “Mimi nakutana na watangazaji kila siku nafanya interview ndani ya Tanzania na nje, so ukiwa na kipaji mimi nitajua tu na kama huna kipaji sitosita kukuambia,” amesema. Kumekuwa na baadhi ya watu wanahoji iwapo msanii huyo alistahili kuwa jaji kutokana hana uzoefu wowote wa kieledi na utendaji kazi mzima wa vyombo vya habari.

Shilole na Mumewe Wasaka Mtoto

Picha
STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita kwa sasa yeye na mumewe, Ashraf Uchebe wako kwenye harakati za kusaka mtoto. Akibonga na Risasi Vibes, Shilole alisema kama kawaida ya watu wengi huwa wanatarajia tu baada ya ndoa waone matunda ambayo ni mtoto, yeye na mumewe wako kwenye kutafuta mtoto na Mungu akimjalia atapata. “Kuhusu suala la mtoto kwa kweli ndiyo tunatafuta na Mungu akipenda tutapata tu maana kila kitu hupangwa na yeye,” alisema Shilole.

Watalii wa Kike Watakaojihusisha Kimapenzi na Wanaume Wazawa Kuchukuliwa Hatua

Picha
Mara nyingi imezoeleka kuwa mapenzi ni uhuru wa mtu binafsi na huwa haungiliwi na mtu mwingine labda iwe kwa ushauri tu lakini sio kwa jambo lingine. Kwa nchi nyingi za Afrika huwa watalii wanapofika kutoka nje imezoeleka kuona wakipata wachumba na wengine hata kuoana lakini hiyo ni tofauti kwa Gambia, ambako serikali imetangaza kuanza kuwachukulia hatua za kisheria watalii wa kike watakaojihusisha na mapenzi badala ya kitu kilichowaleta.  Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Utalii nchini Gambia, Hamat Bah  juzi Februari 26, 2018 kwenye mahojiano yake na kituo cha runinga cha taifa hilo cha GRTS TV. Hamat amesema kuwa kwa sasa ni msimu wa baridi barani Ulaya na watalii wengi kutoka barani Ulaya wanaongezeka kwa wingi nchini humo, na tayari kumekuwa na matatizo ya utapeli na kesi nyingi za baadhi ya watalii wa kike kuibiwa na wanaume wazawa. “ Najua huu ni msimu wa baridi taifa linapokea watalii wengi kutoka Ulaya lakini tayari tumeanza kuwataarifu na kuweka machap...

Shilole na Mumewe Wasaka Mtoto

Picha
STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita kwa sasa yeye na mumewe, Ashraf Uchebe wako kwenye harakati za kusaka mtoto. Akibonga na Risasi Vibes, Shilole alisema kama kawaida ya watu wengi huwa wanatarajia tu baada ya ndoa waone matunda ambayo ni mtoto, yeye na mumewe wako kwenye kutafuta mtoto na Mungu akimjalia atapata. “Kuhusu suala la mtoto kwa kweli ndiyo tunatafuta na Mungu akipenda tutapata tu maana kila kitu hupangwa na yeye,” alisema Shilole.

TFF Yawafungia Viongozi wa Soka kwa Kughushi Leseni za Wachezaji

Picha
Kamati ya Maadili ya TFF iliyokutana Februari 3, 2018 na Februari 17,2018, katika ofisi za TFF Karume, Pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa pia ilipitia na kutoa hukumu ya tuhuma za kutoa taarifa zisizo sahihi na kughushi leseni za usajili zilizowakabili watuhumiwa mbalimbali walioletwa mbele yake. Tuhuma hizo zilitokana na mechi namba 26 kundi A Ligi Daraja la Kwanza iliyofanyika 29 Oktoba 2017 kati ya Mvuvumwa FC na Friends Rangers ambapo katika mchezo huo timu ya Mvuvumwa FC iliwachezesha wachezaji watano (5) ambao ni Elias Costa Elias (aliyevaa jezi namba 5), Lukwesa Joseph Kanakamfumu (jezi namba 7), Dunia Abdala Dunia (jezi namba 1), Doto Justine Kana (jezi namba 12) na Mwarami Abdala Mwarami (jezi namba 8).

Real Madrid Yapokea Kichapo Kutoka kwa Wababe wa Barca

Picha
  Klabu ya soka ya Real Madrid imezidi kujiweka katika nafasi mbaya ya kushinda taji la ligi kuu ya Hispania (La Liga) baada ya usiku wa jana kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa Espanyol. Madrid ambao walikuwa katika uwanja wa ugenini wa RCD Espanyol, walifungwa goli hilo na Gerard Moreno katika dakika ya 90 ya mchezo. Hata hivyo Cristiano Ronaldo wa Madrid hakuwepo katika mcheo huo. Kutokana na matokeo hayo, Real inabakia katika nafasi yake ya tatu kwenye msimamo wa ligi akiwa na alama zao 51 huku akiwa mbele kwa mchezo mmoja, wakati huo huo Barcelona ndio anaongoza msimamo huo akiwa katika nafasi yake ya kwanza na alama 65.

Yanga Yapewa Muda wa Kuimaliza Botswana

Picha
YANGA kwa sasa watakuwa na uhakika wa kuwamaliza wapinzani wao, Township Rollers ya Botswana katika mchezo wa hapa nyumbani baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwafutia mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. Yanga watakutana na Wabotswana hao katika Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza ambapo mchezo wa kwanza utapigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar, Machi 6, mwaka huu. Yanga ambao leo Jumatano watacheza na Ndanda FC, walipangwa kucheza na Mtibwa Sugar ya Morogoro Machi 3, mwaka huu ambapo kwa sasa mchezo huo umesogezwa mbele. Katibu wa Yanga, Charles Mkwasa ameliambia Championi Jumatano, kuwa: “Tuliiomba Bodi ya Ligi ya mchezo wetu na Mtibwa Sugar usogezwe mbele na tayari tumepokea barua kutoka kwao ikionyesha kwamba mechi yetu hiyo haitakuwepo kwenye tarehe hiyo. “Muda huu utakuwa sababu tosha kwetu kujiandaa na kufanya vizuri katika mechi hiyo kwa sababu wachezaji watakuwa na muda wa kutosha wa kupumzika,” alisema Mkwasa.

Real Madrid Yapokea Kichapo Kutoka kwa Wababe wa Barca

Picha
  Klabu ya soka ya Real Madrid imezidi kujiweka katika nafasi mbaya ya kushinda taji la ligi kuu ya Hispania (La Liga) baada ya usiku wa jana kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa Espanyol. Madrid ambao walikuwa katika uwanja wa ugenini wa RCD Espanyol, walifungwa goli hilo na Gerard Moreno katika dakika ya 90 ya mchezo. Hata hivyo Cristiano Ronaldo wa Madrid hakuwepo katika mcheo huo. Kutokana na matokeo hayo, Real inabakia katika nafasi yake ya tatu kwenye msimamo wa ligi akiwa na alama zao 51 huku akiwa mbele kwa mchezo mmoja, wakati huo huo Barcelona ndio anaongoza msimamo huo akiwa katika nafasi yake ya kwanza na alama 65.

Mh. Lema apewa ujumbe mzito na mke wake

Picha
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kufungwa mke wake amemuambia kuwa maisha ya siasa yanaendelea kuwa magumu sana.Lema amesema kuwa Mke wake amemueleza kuwa kazi yao kwasasa imekuwa ni kuzika, mahakamani, polisi, hospitali na magereza. “ Baada ya Sugu kufungwa,Mke wangu aliniambia”Godbless maisha ya Siasa yanaendelea kuwa magumu sana,kazi yenu sasa imekuwa ni kuzika, mahakamani,Polisi,Hospital na magereza” Mkti anasemaje?Mpeni moyo sana,mnapaswa kuilazimisha furaha ili msipoteze Imani na matumaini.unarudi lini ,” ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa Twitter.   

Jenerali Mabeyo Ataja Baadhi ya Mambo Yanayotishia Usalama wa Nchi

Picha
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo. Ameeleza kuwa hivi sasa vipo viashiria vinavyotishia usalama wa nchi, na kwamba hatua zinachukuliwa ili kudhibiti hali hiyo. Jenerali Mabeyo amewaomba Watanzania kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais John Magufuli dhidi ya wizi, ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi za umma, kwa kuwataja hadharani watu wanaojihusisha na vitendo hivyo. Ametoa kauli hiyo jana wakati akifunga Maadhimisho ya Tamasha la Mashujaa wa Vita ya Majimaji katika Viwanja vya Makumbusho ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji mjini Songea. Mabeyo amesema vita dhidi ya wizi na ufisadi, iliyoanzishwa na Rais Magufuli, si ya mtu mmoja, bali kila Mtanzania anapaswa kushiriki, kwani mali zinazoibwa na baadhi ya Watanzania, zinapaswa kuwanufaisha watu wote. Mabeyo alisema badala ya kushughulika na uvunjifu wa amani, ipo haja ya Watanzania kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano, ambayo imedhamiria kuwatumikia wananchi kwa kuboresha ...

Ukiona Mwanaume Ana Miaka 27 Bado Hajajitegemea Huyu ni Hasara

Picha
Sifa ya mwanaume kujituma, kutafuta pesa na kujipanga. Hivi unakuta kijana umri unaenda bado anategemea kwa wazazi msosi ni hotpot family huyu ni hasara. Kuna mwanaume mpaka anaoa bado yupo kwa wazazi na mke anampeleka hapo hapo kwenye nyumba ya familia, ndiyo hapo ndoa inakua ngumu kwa mawifi na mashemeji na wazazi zinaanza chokochoko kibao. Wanaume wa hivi ni walaini sana, hadi kitandani ni walaini. Wapo sana wanaume wa hivi ila kiukweli mwanamke anavutiwa na mwanaume mgumu yaani anayejua kuhangaika na kujitegemea. Hawa wanategemea hadi siku ya ndoa wapewe zawadi ya kiwanja, au nyumba na wazazi. Wanataka sofa, kitanda, vyombo vya ndani siku ya harusi. Shosti ukiona mwanaume wa hivi shituka mapema ni mwanaume Hotpot Family....