Machapisho

Vyakula vinavyoongeza hamu ya kujamiiana

Historia inaonesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia chakula kumvutia mpenzi. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na kuna wakati ni harufu au ladha ya chakula hicho ndiyo inayokufanya kupata hisia hizo .  muonekano wake, ladha yake unapokila, uhaba wake. Asali Pamoja na utamu wake, asali ina nafasi kubwa ya kuongeza hamu ya kujamiiana kwakuwa ina aina zote za madini ya Vitamin B, ambayo ndio yanasaidia sana kuupa mwili nguvu. Unaweza kula vijiko kadhaa kila siku, wengine huichanganya wakiwa wanaotengeneza keki, kuipaka kwenye mkate au chakula chochote. Shayiri Maji ya shayiri asubuhi au jioni yanasaidia kuongeza hamu ya kujamiiana. Shayiri madini ya L-arginine yanayoongeza homoni za testosterone, pia ina wingi wa kundi la Vitamin B. Shayiri huuzwa bei nafuu na ni njia rahisi sana ya kuongeza msukumo wa damu, jambo ambalo hutokea unapofanya mapenzi. Shayiri inapotumiwa kwa muda mrefu inasaidia kupunguza uwezekano wa k...

Unampenda au unajilazimisha? Jipime kwa maswali haya

Picha
Watu wengi wako kwenye uhusiano wa kimapenzi bila kujua kama kweli wanapenda kwa dhati au wanajilazisha? Ili kutambua upendo wako jipime kwa maswali yafuatayo: 1 - Unapoamka asubuhi wazo la kwanza kukujia linamhusu mpenzi wako au unafikiria zaidi kazi na mambo mengine? Una msukumo wa kutaka kumsalimia na pengine kumuuliza anapenda afungue kinywa kwa chakula gani? 2 - Je umekuwa mwepesi na mwenye furaha kubwa kuwaambia rafiki zako wa karibu juu ya hisia zako kwa mpenzi wako? Unajisikiaje wanapokushawishi vibaya kuhusu yeye? 3 - Je, anapokwambia anakuja kukutembelea huwa unajisikia hamasa moyoni kiasi cha mwili kusisimka? 4 - Unapokuwa peke yako mawazo yako yanatawaliwa na yeye au unafikiria kucheza gemu kwenye simu yako na kujifariji kwa vitu vingine? 5 - Unapompima kwa kumlinganisha na wengine anachukua nafasi ya kwanza au anazidiwa? 6 - Je, unapomfikiria na kupata kivutio fulani ndani ya moyo wako kuhusu ucheshi na utani wake huwa unatabasamu hata ukiwa peke yako? 7- Unajisiki...

Nini Maana ya Kubemenda Mtoto....Soma Hapa

Picha
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi. Je, kuna ukweli wowote? Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi. Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi? unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wew...

XXL wazee wa Keko Furniture wametinga nusu fainali ya Ndondo Cup

Picha
Keko Furniture wanaopewa power na kipindi cha XXL cha Clouds FM wamekamilisha idadi ya timu nne ziluzofuzu nusu fainali ya Ndondo Cup 2017 baada ya kuifunga Stim Tosha kwa mikwaju ya penati kufuatia sare ya kufungana goli 1-1 katika dakika 90 za kawaida. Stim Tosha ambao wapo chini ya kipindi cha Alasiri walitoka nyuma na kusawazisha bao kupitia kwa nyota wao Kelvin Sabath ‘Kiduku’ dakika ya 62 baada ya kutanguliwa na Keko Furniture kwa goli lililofungwa dakika ya 9 kipindi cha kwanza na mshambuliaji Ludovic. Dakika 90 zikamalizika kwa sare ya timu hizo kufungana goli 1-1 kisha changamoto ya penati kuchukua nafasi yake. Keko wakafanikiwa kushinda kwa penati 4-3 na kujihakikishia nafasi ya kucheza nusu fainali ya Ndondo Cup msimu huu. Timu ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ni pamoja na Kibada One, Goms United, Misosi FC na Keko Furniture. Jumatatu Julai 31, 2017 itachezeshwa draw ili kupata timu zitakazokutana katika hatua ya nusu faili.

Msichana Aliyesingizia Kubakwa na Wanaume Watatu Kufungwa Miaka 10

Picha
Msichana mkazi wa Texas, Marekani ambaye alikimbilia Kanisani na kudai kuwa amebakwa na kundi la Wanaume watatu wenye asili ya Afrika, huenda akahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri kwamba alidanganya. Breana Harmon, mwenye umri wa miaka 19, mapema mwezi March alikimbilia Kanisani mjini Denison, Texas, akiwa na damu katika mwili wake na kudai kubakwa na wanaume wawili wakati mwingine akimshikilia chini, unaripoti mtandao wa KXII. Hata hivyo, vipimo vya Hospitali havikuonesha ushahidi wowote kuwa msichana huyo alidhalilishwa na wanaume hao wenye asili ya Afrika ambapo wiki mbili baada ya tukio hilo alikiri kwa Polisi kuwa alidanganya juu ya tukio hilo na kuumia kwake kulitokana na yeye mwenyewe. Kwa mujibu wa Mwanasheria Joe Brown, msichana huyo alifunguliwa kesi ya jinai mapema wiki hii kutokana na kudanganya ambapo thamani ya kosa ni kifungo cha hadi miaka 10 jela na faini ya Dollar 10,000. “Tulivyoangalia katika kilichotokea kwenye kesi hii, na kuzingatia madhara iliyosaba...

Haya Hapa Madhara ya Kujichua Kwa Wanawake na Wanaume

Picha
Punyeto ni nini Punyeto ni kitendo cha kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua au kufanya punyeto; 1. Inaharibu kizazi 2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara 3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo 4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu 5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto 6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo. 7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada. 8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu. 9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara 10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja. Hay ni baadhi ya madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume 1. Punyeto h...

Lipumba Amchokozi Amwita Tena Maalim Seif Ofisini

Picha
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama kiongozi. Hata hivyo, Profesa Lipumba amemtaka arejee ofisini kuendelea na majukumu yake licha ya kudai kwamba kwa sasa nafasi yake inakaimiwa na Naibu Katibu Mkuu, Magdalena Sakaya. Akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja cha televisheni leo, Profesa Lipumba amesema bado anamtambua Maalim Seif kama Katibu Mkuu wa chama hicho licha ya utoro wake kazini. "Sijamwona Katibu Mkuu tangu Septemba 23 mwaka jana, namkaribisha aje ofisini Buguruni apokee maelekezo kutoka kwa mwenyekiti," amesema Profesa Lipumba. Mwenyekiti huyo amesisitiza kwamba yeye ni mwenyekiti halali wa CUF kwa mujibu wa ibara ya 117 ya chama hicho ambayo inaeleza taratibu za kiongozi kujiuzulu. "Ibara ya 117 inatoa mamlaka kwa mkutano mkuu kujadili barua ya kiongozi kisha kuridhia kujiuzul...