KAULI YA JAKAYA KIKWETE KUHUSU MATUMIZI MABAYA YA PICHA ZAKE MTANDAONI

Rais mstaafu kutoka kwenye awamu ya nne ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameamua kujibu kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii katika siku za karibuni.

Kupitia Twitter page yake Mstaafu JK ameandika  ‘Nasikitishwa sana na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususan watu kunilisha maneno kwa kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa‘

‘Nimestaafu naomba niachwe nipumzike nisingependa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya serikali… namuunga mkono Rais na Serikali yake‘ – Jakaya Kikwete.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA