Machapisho

WAKUBWA TU: Acha Mazoea Katika Mapenzi Zingatia Mambo Aya 10 Kabla Ujachika

Picha
#1- Mfanye Mwanamke aanze kufika mlima kilimanjaro kabla hujaanza kumuingilia. Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo. Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake. Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata ukipigwa bao la usoni saw...

Ukiona Mwanaume Ana Miaka 27 Bado Hajajitegemea Huyu ni Hasara

Picha
Sifa ya mwanaume kujituma, kutafuta pesa na kujipanga. Hivi unakuta kijana umri unaenda bado anategemea kwa wazazi msosi ni hotpot family huyu ni hasara. Kuna mwanaume mpaka anaoa bado yupo kwa wazazi na mke anampeleka hapo hapo kwenye nyumba ya familia, ndiyo hapo ndoa inakua ngumu kwa mawifi na mashemeji na wazazi zinaanza chokochoko kibao. Wanaume wa hivi ni walaini sana, hadi kitandani ni walaini. Wapo sana wanaume wa hivi ila kiukweli mwanamke anavutiwa na mwanaume mgumu yaani anayejua kuhangaika na kujitegemea. Hawa wanategemea hadi siku ya ndoa wapewe zawadi ya kiwanja, au nyumba na wazazi. Wanataka sofa, kitanda, vyombo vya ndani siku ya harusi. Shosti ukiona mwanaume wa hivi shituka mapema ni mwanaume Hotpot Family....

Hizi Hapa Sababu Kuu za Wanaume Kupenda Wake za Watu

Picha
ASSALAM aleikum mpenzi msomaji wangu, umzima? Unaendeleaje na mishughuliko yako? Mimi mzima, namshukuru Mungu kwa kunijaalia kuwa miongoni mwa wale wanaopendwa. Yes, mimi napendwa na hiyo ni bahati sana. Wapo watu wanatafuta watu wa kuwapenda lakini mpaka sasa hawajawapata. Ndiyo maana nilishawahi kusema kwamba, ukibahatika kumpata mtu anayekupenda na kwa bahati nzuri na wewe ukawa na chembechembe za mapenzi kwake, shukuru Mungu na mshikilie. Kumbuka mapenzi ndiyo yanachukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu. Hata kama umzuri, una pesa nyingi na mali za kumwaga kiasi gani, kama huna mtu wa ‘kuinjoi’ naye, maisha yako lazima yatakuwa ni yenye upungufu mkubwa. Ndiyo maana wapo ambao ni matajiri lakini kwa kuwa mapenzi yanawachanganya, wanafikia hatua ya kujiua. Hapo ndipo unathibitisha kwamba, mapenzi yanachukua asilimia kubwa katika maisha yetu ya furaha ya kila siku. Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nataka kuzungumzia sababu tano za kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda sana...

Mtoto wa Miezi Minne Aibiwa Kanisani…ilikuwaje?

Picha
Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia Binti wa miaka 22 kwa tuhuma za kuhusishwa na wizi wa mtoto wa umri wa miezi minne wakati wako ndani ya kanisa katika Jimbo la Kirinyaga nchini humo. Inaelezwa kuwa binti huyo alikutwa na mtoto huyo aliyepotea tangu Jumapili ya February 25, 2018 katika kanisa la Jesus Winner lililopo katika kata ya Mitheru. Binti huyo amekutwa na mtoto huyo katika Jimbo jingine la Nithi. Kwa mujibu wa mama wa mtoto Fidelis Mugo, alimwacha mwanae amebebwa na rafiki yake alipoenda kushughulikia jambo nje ya kanisa na pindi aliporudi rafiki aliyeachiwa mtoto alisema kuwa kuna muumini mwingine wa kanisa hilo aliomba ambebe. Muumini huyo alitafutwa kanisani hapo lakini hakupatikana na ndipo ikabidi taarifa itolewe polisi na jitihada za kumtafuta mwizi wa mtoto huyo zilipoanza kufanyika.

Baada ya Tetesi Chirwa Anakwenda Simba, Yanga Yajibu Mapigo

Picha
Tayari tetesi zimeanza kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kwamba, mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa huenda akajiunga na ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba mara baada ya kumaliza mkataba wake na yanga ambao kwa sasa unaelekea ukingoni. Mwenyekiti wa usajili na mashindano Hussein Nyika amekanusha tetesi hizo kwamba si za kweli huku akisisitiza Chirwa haendi popote labda kama Yanga wataamua kuwachi lakini si vinginevyo. “Hawezi kwenda sehemu yoyote isipokuwa hadi sisi tutakaposema nenda lakini kama bado tunamuhitaji, hawezi kwenda sehemu yeyote”-amesema Hussein Nyika ambaye ni mwenyekiti wa usajili ndani ya Yanga. “Niwatoe wasiwasi wapenzi na wanachama wa Yanga kwamba, mchezaji ambaye yupo Yanga si dhani kama anaweza kuondoka kwenda sehemu yoyote labda hadi Yanga watakapoamua aondoke lakini kama bado wanamuhita

Serikali Yatangaza Adhabu Ukikutwa na Mwanafunzi wa Kike Nyumbani

Picha
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana tunawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao. Alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa wilaya ya Masasi akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara. Waziri Mkuu alisema watoto wa kike wanatakiwa kuheshimiwa katika jamii kwa kuachwa waendelee na masomo yao bila ya usumbufu wa aina yoyote na atakayebainika kukatisha masomo atachukuliwa hatua kali za kisheria. Alisema Serikali itatoa adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mtu atakayekatisha elimu ya mtoto wa kike iwe kwa kumuoa, kumpa ujauzo na hata ukikutwa naye nyumbani kwako, katika nyumba ya wageni. “Tukikukuta na binti wa shule katika kona isiyoeleweka tunakukamata na kukuchukulia hatua za kisheria. Ole wenu vijana, mkibainika mmewapa mimba mabinti wanaosoma, adhabu yake ni miaka 30 jela.” Waziri Mkuu ...

Baada ya Tetesi Chirwa Anakwenda Simba, Yanga Yajibu Mapigo

Picha
Tayari tetesi zimeanza kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kwamba, mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa huenda akajiunga na ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba mara baada ya kumaliza mkataba wake na yanga ambao kwa sasa unaelekea ukingoni. Mwenyekiti wa usajili na mashindano Hussein Nyika amekanusha tetesi hizo kwamba si za kweli huku akisisitiza Chirwa haendi popote labda kama Yanga wataamua kuwachi lakini si vinginevyo. “Hawezi kwenda sehemu yoyote isipokuwa hadi sisi tutakaposema nenda lakini kama bado tunamuhitaji, hawezi kwenda sehemu yeyote”-amesema Hussein Nyika ambaye ni mwenyekiti wa usajili ndani ya Yanga. “Niwatoe wasiwasi wapenzi na wanachama wa Yanga kwamba, mchezaji ambaye yupo Yanga si dhani kama anaweza kuondoka kwenda sehemu yoyote labda hadi Yanga watakapoamua aondoke lakini kama bado wanamuhita